• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda:Sekta ya bima yatabiriwa kukuwa Rwanda

    (GMT+08:00) 2017-03-17 20:13:24

    Sekta ya bima nchini Rwanda imetabiriwa kushuhudia ukuwaji mkubwa katika miaka ya baadae kwa mujibu wa bodi kuu ya bima nchini humo.

    Mkurugenzi wa bodi hiyo Alex Bahizi amesema sekta ya bima ya Rwanda ina fursa nyingi ambazo hazitumika kikamilifu.

    Rwanda imepenya asilimia 2 tu ya soko la bima la Afrika Mashariki.

    Kampuni ya bima ya BK iliyozinduliwa wiki hii nchini humo inatarajiwa kutumika katika kuboresha na kuendleza sekta hiyo.

    Benki ya kitaifa ya Rwanda imetangaza vigezo vipya na bora vya huduma hiyo ambayo inatarajiwa kuongeza ushuru kwa serikali.

    Inapoadhimisha miaka 50 ya huduma zake ,benki hiyo imeahidi kupanua utendekazi wake kwa kushirikiana kwa karibu na sekta za bima,benki za biashara na kubuni mbinu mpya za ajira.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako