• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda:Bunge kufanya maonyesho ya utamaduni wa Waganda.

    (GMT+08:00) 2017-03-17 20:14:16

    Katika juhudi za kuimarusha utalii nchini Uganda ,Bunge la nchi hiyo litaanda maonyesho ya bidhaa za kitamaduni na mila za waganda.

    Spika wa bunge wa Uganda Rebeccha Kadaga amesema mwezi ujao ,maonyesho hayo yatafanyika na yatatoa fursa nyingi za kiuchumi.

    Hatua hii inalenga waganda kutumia bidhaa za kitaifa badala ya kuzingatia sana za kutoka n je.

    Shughuli hii itafanyika pamoja na ushirikiano wa balozi ya Italia nchi humo.

    Aidha ujumbe kutoka shirika maedneleo ya uchumi Afrika AGOA watahudhuria maonyesho hayo yatakotoa fursa za mauzo kwa bidhaa hizo.

    Balozi wa Italia nchini Uganda Domeneico Fornara amesema Uganda na Italia zitaendelea kuimarisha ushirikiano na urafiki kati yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako