• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mawaziri wa mambo ya nje wa China na Marekani wafanya mazungumzo

    (GMT+08:00) 2017-03-19 16:58:39

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi jana hapa Beijing amekutana na waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Rex Tillerson.

    Bw. Wang Yi ameeleza msimamo wa China kuhusu masuala ya Taiwan na Bahari ya Kusini, amesisitiza kuwa China na Marekani zinapaswa kuheshimu maslahi makuu na ufuatiliaji wa upande mwingine, na kushughulikia makini masuala makuu, ili kutoathiri vibaya uhusiano kati yao.

    Bw. Tillerson amesema Marekani inapenda kushikilia sera ya kuwepo kwa China moja tu, kushikilia msimamo wa kutopambana na kuheshimiana, na kupanua ushirikiano kati yao kwenye sekta nyingi zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako