• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Martin Schulz kutoa changamoto kwa Merkel kwenye uchaguzi Ujerumani

    (GMT+08:00) 2017-03-20 08:52:15

    Chama cha Social Democratic cha Ujerumani SPD kimethibitisha kwenye mkutano wa chama uliofanyika Jumapili kuwa kiongozi wake Bw. Martin Schulz atatoa changamoto kwa chansela Bibi Angela Merkel kwenye uchaguzi mkuu wa Ujerumani unaotarajiwa kufanyika Septemba mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako