• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: bei ya gesi wa kupikia imepanda

    (GMT+08:00) 2017-03-20 19:36:30

    Wauzaji gesi wameongeza gharama ya kujaza mtungi wa gesi ya kupikia .

    Hii imetokana na kupanda kwa gharama za kuagiza bidhaa kutoka masoko ya kimataifa.

    Hii ni mara ya kwanza katika miaka miwili gharama ya mtungi wa gesi wa kupikia LPG kupanda bei.

    Bei zimeongezeka kwa wastani wa Sh330, hii ni kulingana na takwimu kutoka kwa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Kenya.

    KNBS imesema hivi sasa kujaza mtungi wa gesi wa kilo 13 ni Sh2318 kutoka Sh1989.9 katika miezi ya nyuma.

    Bei ya gesi ya Kupikia ilishuka chini ya Sh2000 mwezi Julai mwaka jana baada ya hazina ya fedha kuondoa kodi kwa bidhaa hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako