• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: wabunge waweka kando sh bilioni 2.6 zao

    (GMT+08:00) 2017-03-20 19:36:53

    Kuchelewa kwa bajeti ya bunge inaonyesha kwamba posho inayolipwa kwa wabunge itaongezeka hadi Sh bilioni 7.2 katika mwaka wa fedha unaoaza mwezi Julai, kutoka Shbilioni 4.5 bilioni.

    Posho ya Sh bilioni 2.6 itaona kila moja ya wabunge wakipeleka nyumbani milioni sh 6.2, ambayo imesukuma jumla ya fedha yao hadi sh milioni 12.9.

    Wabunge wana haki ya malipo ya kiinua mgongo ya Sh bilioni 2.8 mwishoni mwa muhula wao katika Siku ya Uchaguzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako