• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China akutana na wajumbe wa nchi za nje wanaoshiriki katika Baraza la ngazi ya juu la maendeleo la China

    (GMT+08:00) 2017-03-20 21:34:39

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang leo hapa Beijing amekutana na wajumbe wa nchi za nje wanaoshiriki katika Baraza la mwaka 2017 la ngazi ya juu la maendeleo la China.

    Katika mazungumzo hayo, Bw. Li amesema hivi sasa uchumi wa China umeonesha mwelekeo wa kupata maendeleo kwa utulivu, na mageuzi ya kimuundo yamezidi kuboreshwa. Pia amesema uchumi wa China umeungana kwa kina na uchumi wa dunia, na kiwango cha China cha kufungua mlango kwa nje kitazidi kuinuka.

    Wajumbe wa nchi za nje wanashiriki mkutao huo wamesema wanafuatilia sana mchakato wa maendeleo wa China, pia wanaunga mkono kupanda ngazi kwa mageuzi ya kimuundo ya uchumi, na wanapenda kujiunga na mchakato wa mageuzi na ufunguaji mlango kwa nje wa China, na kukuza uhusiano wa kiwenzi wa kunufaishana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako