• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakenya watwaa ubingwa Selous Marathon

    (GMT+08:00) 2017-03-21 08:46:39

    Kenya imetikisa katika mbio za Seoul Marathon nchini Korea Kusini kupitia wakimbiaji Amos Kipruto na Margaret Agai, mashindano hayo yalifanyika juzi Jumapili.

    Kipruto aliongoza wanaume kutoka Kenya katika kunyakua nafasi 10 za kwanza. Alishinda umbali huo wa kilomita 42 kwa saa 2:05:54

    alifuatiwa na Felix Kipchirchir aliyetumia saa 2:06:03, Mark Korir amekuwa mshindi wa tatu kwa kutumia saa 2:06:05.

    Kwa upande wa wanawake, Margareth Agai ameibuka mshindi kwa kutumia saa 2:25:52 akifuatiwa na Muethiopia Ashete Bekere aliyetumia saa 2:25:57 huku mshindi wa tatu ni mwanadada toka Kenya pia, Mercy Kibarus aliyetumia saa 2:26:52.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako