• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wachezaji wengi zaidi kushiriki NBA Junior chini ya miaka 14

    (GMT+08:00) 2017-03-21 08:47:03

    Jumla ya wachezaji 900 wa mchezo wa kikapu wenye umri wa chini ya miaka 14 wanashiriki mashindano ya Junior NBA kwa mwaka huu.

    Kwa mujibu wa Mratibu wa mashindano hayo Bahati Mgunda amesema kuwa ongezeko hilo limekuja kutokana na kuanzishwa kwa mashindano ya wasichana tofauti na mwaka uliopita uliokuwa na mashindano ya wavulana pekee.

    Mashindano hayo yanafanyika kwa mwaka wa pili sasa yakiwa na lengo la kuibua na kukuza vipaji vya wachezaji chipukizi wa mchezo wa kikapu lengo ambalo limeanza kuonyesha mwanga wa mafanikio.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako