• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu ya Arsenal ya wanawake yawalaza Tottenham goli 10-0

    (GMT+08:00) 2017-03-21 08:47:26
    Mabingwa watetezi wa kombe la FA Uingereza upande wa wanawake Arsenal wamewalaza wapinzani wao Tottenham Spurs kwa magoli 10-0 katika kipute kilichopigwa jana usiku natimu hiyo kufanikiwa kuingia robo fainali.

    Danielle Van De Donk aliifungia timu yake hiyo magoli matatu, magoli mengine yalifungwa na Danielle Carter aliyefunga goli 2, Dominique Jansse, Little Kim, Chloe Kelly, Beth Mead na Katie McCabe walifunga goli moja kila mmoja.

    Ilikuwa usiku mbaya kwa Spurs, kwani katika ligi kuu ya Uingereza timu ya Wanaume nayo ilibamizwa goli 2-1 na Southampton.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako