• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kenya yakopa dola milioni 800 kuziba mwanya wa bajeti

    (GMT+08:00) 2017-03-21 21:01:25

    Serikali ya Kenya imesaini kupokea mikopo ya dola milioni 800 kutoka kwa benki nne nchini humo

    Benki hizo ni pamoja na Chartered, Standard Bank, Citi na Rand Merchant Bank .

    Bado serikali haiatagaza masharti ya mikopo hiyo lakini inapanga kukopa hadi dola bilioni 1.4 kutoka nje ili kuziba mwanya wa bajeti.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako