• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Serikali imesema mauzo ya hisa za kwanza za beni ya I&M yamepita matarajio kwa asilimia 209%.

    (GMT+08:00) 2017-03-21 21:02:50

    Benki hiyo inapanga kutumia fedha kutoka kwa mauzo ya hisa hizo kujenga uwanja wa ndege wa Bugesera .

    Kulingana na wizara ya fedha, asilimia 60% ya hisa ilinunuliwa na raia wa Rwana huku asilimia 40% ikiwaendea raia wa Afrika Mashariki.

    Waziri wa fedha Claver Gatete amesema kununuliwa kupita kiasi kwa hisa hizo ni ishara ya kuwa na imani na uchumi wa Rwanda na pia sekta ya benki nchini hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako