• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda:Bunge kuandaa maonyesho ya mavazi ya kitamaduni Uganda

    (GMT+08:00) 2017-03-21 21:04:09

    Bunge nchini Uganda litaandaa maonyesho ya siku mbili ambako wafanyabiashara wataonyesha bidhaa za mavazi ya kitamaduni.

    Spika wa bunge Rebecca Kadaga amesema waganda wanafaa kutiwa moyo kuonyesha bidhaa za nyumbani ili kukuza utamaduni na kujiendeleza kiuchumi.

    Aidha amewataka raia kununua bidhaa zilizotengenezwa nchini humo kabla ya hata ya kuanza kuuza kwenye masoko ya nje ama miungano ya kibiashara kama AGOA.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako