• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu 16 zilizotolewa katika michuano ya klabu bingwa Afrika sasa kucheza kombe la Shirikisho Barani Afrika

    (GMT+08:00) 2017-03-22 08:44:12

    Ratiba ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika imetoka, na timu 16 zilizotolewa katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika sasa kukutana katika kinyang'anyiro cha kombe la Shirikisho. Washindi 16 wa Raundi hiyo watacheza hatua ya makundi.

    Droo ya raundi ya mchujo ya kombe la Shirikisho imefanyika Makao Makuu ya CAF Jijini Cairo nchini Misri. Droo hii imekutanisha timu 16 zilizoshinda raundi ya kwanza ya Mashindano haya na kupambanishwa na timu 16 zilizotupwa nje ya raundi ya kwanza ya CAF champions ligi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako