• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ronaldo mwanasoka bora wa mwaka Ureno

    (GMT+08:00) 2017-03-22 09:20:29

    Cristiano Ronaldo anayechezea Real Madrid ya Hispania jana ametangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Urenoi akiwashinda beki wa Read Madrid Pepe na kipa wa Sporting Lisbon, Rui Patricio.

    Renato Sanchez ameshinda tuzo ya mchezaji bora mwenye umri chini ya miaka 21.

    Ronaldo ametangazwa mshindi wa tuzo hiyo huku kocha wa timu ya taifa ya Ureno aliyoongoza timu hiyo kushinda Euro 2016 Fernando Santos ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwaka. Hii ni tuzo ya 11 ya Ronaldo toka 2016/2017 baada ya tuzo ya mchezaji bora wa dunia wa FIFA aliyochukua Januari 9, mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako