• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Biashara kati ya China na Uganda kuongezeka maradufu ndani ya miaka 5

    (GMT+08:00) 2017-03-22 19:41:54

    Biashara kati ya China na Uganda inatarajiwa kuongezeka maradufu ndani ya miaka 5 ijayo huku Uganda ikiendelea kuwa na ongezeko la mahitaji ya bidhaa za kujenga miundo mbinu.

    Mchumi mkuu wa benki ya Standard mjini Beijing China Jeremy Stevens aliwaambia waandishi wa habari wamba Afrika anaendelea kuwa soko kubwa ambako China ina maslahi ya kimkakati.

    Taakwimu za benki kuu ya Uganda zinaonyesha kwamba biashara kati ya China na Uganda ilifikia dola milioni 737 mwaka 2016.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako