• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Shs20b kutoka kwa mauzo ya nje ya samaki haitumiki

    (GMT+08:00) 2017-03-22 19:42:16

    Wauzaji Samaki wameiomba serikali kueleza kile kilichotokea kwa Mfuko Mkuu wa Serikali ambao wapaswa kufanya michango kupitia njia ya ushuru nani haitumiki kama ilivyofaa.

    Fedha hizi, zinazokusanywa na Mamlaka ya Mapato ya Uganda katika mauzo ya nje ya samaki, huwekwa katika Mfuko Mkuu wa Serikali na madhumuni yake kuu ni kusaidia kufufua rasilimali za uvuvi na maendeleo ya kilimo cha samaki.

    Fedha hii kufikia sasa ni zaidi ya sh bilioni 20 na haitumiki.

    Afisa wa Chama cha wauzaji samaki Uganda, Bw William Tebyasa, anasema kama sekta tunahitaji kupitia tena makubaliano ili kuona kuwa fedha zilizokusanywa kutokana na mauzo ya nje ya samaki imewekwa kwa matumizi yaliyokusudiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako