• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania:Benki ya dunia imetoa dola bilioni 2.4 kufadhili miradi ya miundombinu nchini Tanzania.

    (GMT+08:00) 2017-03-22 19:42:56

    Benki ya Dunia itapatia Tanzania mkopo wa dola bilioni 2.4 katika muda wa miaka mitatu ijayo ili kufadhili miradi ya miundombinu, rais benki hiyo Jim Yong Kim alisema.

    Kim na Rais wa Tanzania John Magufuli walitia saini katika miradi mitatu Benki ya Dunia inafadhili ambayo ni dola milioni 780 yenye lengo la kuboresha miundombinu ya umma.

    Gesi nchini Tanzania na uvumbuzi wa mafuta nchini Kenya na Uganda imeifanya Afrika Mashariki kuwa mataifa makubwa, lakini miundombinu ya usafiri katika nchi hizo imekuwa na shida miaka sasa .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako