• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Liu Yunshan asisitiza kuhimiza mchakato wa kuunganishwa kwa vyombo vya habari na kujenga vyombo vya habari vya aina mpya

    (GMT+08:00) 2017-03-22 20:29:42

    Mjumbe wa kudumu wa Idara ya mambo ya kisiasa ya kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China Bw. Liu Yunshan leo ametembelea Shirika la habari la Renminribao.

    Akizungumza na wafanyakazi wa Shirika hilo, Bw. Liu Yunshan amesisitiza kuwa ni lazima kutekeleza moyo wa hotuba muhimu alizotoa rais Xi Jinping wa China, kushikilia upande sahihi wa kisiasa, na kuharakisha mchakato wa kuunganishwa kwa vyombo vya habari. Pia kujenga vyombo vikuu vya aina mpya vyenye uwezo mkubwa wa ushindani na uenezi, ili kuweka mazingira mazuri kwa ajili ya kufanyika kwa Mkutano mkuu wa 19 wa chama cha kikomunisti cha China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako