• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Paris na Los Angeles kuwania uwenyeji wa Michezo ya Olimpiki

    (GMT+08:00) 2017-03-23 08:45:39

    Jiji la Paris la nchi Ufaransa na Los Angeles la nchini Marekani ndio majiji pekee yanayowania kuandaa michezo ya Olimpiki na Paralimpiki ya mwaka 2024. Kumekuwepo na mapendekezo toka kamati ya kimataifa ya Olimpic kuyapa nafasi majiji yote mawili kwa michezo ya mwaka 2024 na ile ya 2028.

    Paris wameiambia kamati ya michezo hiyo kuwa wao wanapenda kuandaa michezo ya mwaka 2024 tu na sio ile ya 2028. Ratiba ya kamati ya kimataifa ya Olimpiki inaonyesha itatangaza mwenyeji wa michezo ya mwaka 2024 mwezi Septemba mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako