• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Everton ya Uingereza yatazamiwa kutua Tanzania

    (GMT+08:00) 2017-03-23 08:47:19

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga amekutana na wawakilishi wa timu ya Everton inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza, na kumpa taarifa Waziri huyo kuhusu uwezekano wa kuilpeleka timu hiyo Tanzania kwa ajili ya kucheza mechi ya kirafiki.

    Aidha Waziri Mahiga alisema ziara hiyo itasaidia kuitangaza Tanzania duniani pamoja na kuhamasisha mchezo wa mpira wa miguu kwa vijana wa Kitanzania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako