• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China aanza ziara rasmi Australia

    (GMT+08:00) 2017-03-23 09:21:49

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang amewasili mjini Canberra na kuanza ziara yake rasmi nchini Australia, ambapo anatarajiwa kuhudhuria mkutano wa tano wa mawaziri wakuu wa nchi hizo mbili. Bw. Li keqiang amesema anatarajia kutumia fursa ya ziara hiyo kufungua mustakbali mpya wa ushirikiano wa kunufaishana kati ya nchi mbili, kwenye msingi wa kuheshimiana na kutendeana kwa usawa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako