• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Mafuriko na ukame zasababisha kupungua kwa kasi ya ukuaji wa uchumi nchini Rwanda

    (GMT+08:00) 2017-03-23 18:21:29

    Mafuriko na ukame zimesababisha kupungua kwa kasi ya ukuaji wa uchumi nchini Rwanda kufikia 5.9.

    Kiangazi na mafuriko nchini humo zimeathiri sekta ya kilimo ambayo ni tegemeo kuu kwa uchumi wa taifa.

    Rwanda ilikuwa imetabiri ukuaji wa asilimia 6 kwa uchumi wake mwaka 2016 lakini taakwimu za taasisi ya takwimu ya kitaifa zinaonyesha kuwa lengo hilo halikufikiwa.

    Taakwimu zinaonyesha kwamba ukuaji kwenye sekta ya kilimo ulikuwa asilimia 4 kwenye nusu ya kwanza ya 2016 lakini ikashuka hadi asilimia 1 kwenye nusu ya pili kutokana na mavuno machache.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako