• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Mamlaka ya mapato nchini Tanzania (TRA) yawataka kulipa kodi ya majengo

    (GMT+08:00) 2017-03-23 18:22:54

    Mamlaka ya mapato nchini Tanzania (TRA) imewaomba wananchi kuhakikisha wanalipia kodi ya majengo ili kuondoa usumbufu wa kosa la ukwepaji wa kodi hiyo.

    Kamishna wa kodi za ndani Elijah Mwandumbya alisema kodi hizo zinakusanywa kwa kutumia taarifa za walipa kodi zilizo kabidhiwa kutoka kwa serikali za mitaa hivyo ni muhimu kwa wananchi kutimiza wajibu wao.

    Alisema viwango vilivyowekwa katika kodi hiyo ni vidogo na vipo tofauti kulingana na hali haliasi ya uchumi katika eneo husika na vitalipwa mara moja tu kwa mwaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako