• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wachezaji watatu wa tenesi wa Uingereza waanza vibaya Miami Open

    (GMT+08:00) 2017-03-24 08:34:34
    Wachezaji watatu wa mchezo wa tenesi wa Uingereza Dan Evans, Heather Watson na Aljaz Bedene wamepoteza michezo ya raundi ya kwanza ya michuano ya wazi ya Miami. Mchezaji namba 43 Evans alipoteza kwa Mmarekani Ernesto Escobedo. Kwa seti mbili 7-5 0-6 6-3

    Naye Watson, ambae alifika raundi ya nne mwaka jana alipoteza kwa Mromania Patricia Maria, kwa seti tatu 7-6 (7-4) 6-1, kupoteza huko kwa Watson kutamshusha katika viwango vya ubora .

    Kwa upande wa Aljaz Bedene amekua mwingereza wa tatu kuchapwa katika michuano hiyo baada ya kupoteza kwa Mjerumani Jan-Lennard Struff kwa 7-5 4-0

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako