• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Langalanga Australia Grand Prix: Lewis Hamilton amshinda Vettel

    (GMT+08:00) 2017-03-27 08:25:07

    Muingereza Lewis Hamilton ameshinda taji lililokuwa na ushindani mkali kati ya Merceded na Ferrari katika mshindano ya magari ya langalanga ya Australia Grand Prix.

    Hamilton alishinda taji hilo kwa sekunde 0.268 huku Dereva wa Ferrari Sebastian Vettel wa Ujerumani akijiunga naye.

    Mjerumani huyo alimshinda mshindani mwenza wa Hamilton Valteri Bottas kwa sekunde 0.025 huku msimu mpya wa magari yenye kasi ya juu ukianza vizuri.

    Kimi Raikkonen wa Ferrari alichukua nafasi ya 4 mbele ya dereva wa gari la Red Bull Max Verstappen.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako