• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Mishahara ya watumishi wa umma inatarajiwa kupanda kwa asilimia 7.3 kuanzia mwezi Julai

    (GMT+08:00) 2017-03-27 19:41:15

    Mishahara ya watumishi wa umma inatarajiwa kupanda kwa asilimia 7.3 kuanzia mwezi Julai ambayo ni pamoja na posho ya nyumba kabla ya uchanguzi mkuu.

    Stakabadhi zilizowasilishwa Bungeni zinaonyesha kuwa wizara ya fedha imetenga ongezeko la sh bilioni Sh26.5 kwa ajili ya mishahara, ambayo imeinua jumla ya bajeti ya mshahara hadi Sh bilioni 386.5 kwa ajili ya mwaka ujao, kutokana na iliyo sasa ambayo ni Sh bilioni 360.

    Nyongeza hii ni ya wafanyikazi wa wanaofanya kazi kwa ofisi za serikali.

    Hii ndio nyongeza ya kwanza kwa utumishi wa umma mzima chini ya utawala wa Jubilee.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako