• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kupungua kwa ugavi wa miwa umesukuma juu bei ya viwanda kwa asilimia 13.5.

    (GMT+08:00) 2017-03-27 19:41:32

    Kupungua kwa ugavi wa miwa umesukuma juu bei ya viwanda kwa asilimia 13.5.

    Hii ndiyo mara ya kwanza bei ya viwanda imepanda tangu mwanzo mwaka.

    Mfuko wa kilo 50 wa sukari inauuzwa kwa wastani wa sh5,900 kutoka sh 5,200 mwezi uliopita, hatua ambayo tayari athari zake kubwa zinashuhudiwa kwa bei.

    Kampuni ya sukari ya South Nyanza (Sony) hivi sasa inasiaga wastani wa tani 1,500 kwa siku kutoka tani 2,500.

    Ukosefu wa miwa ya kutosha umeona viwanda vya miwa zikipunguza siku za uzalishaji kutoka siku saba kwa wiki hadi siku tano kwa wiki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako