• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matumizi ya dawa za kulevya yaongezeka taratibu nchini China

    (GMT+08:00) 2017-03-27 20:16:42

    Ripoti iliyotolewa leo na Tume ya taifa ya kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya nchini China imeonesha kuwa, mwaka jana idadi ya watumiaji wa dawa za kulevya nchini humo imeongezeka taratibu, lakini bado inadhibitiwa.

    Kwa mujibu wa ripoti hiyo, kulikuwa na watumiaji wa dawa za kulevya milioni 2.51 nchini China hadi kufikia mwisho wa mwaka jana, idadi ambayo iliongezeka kwa asilimia 6.8 kuliko mwaka juzi.

    Lakini ripoti hiyo pia imesema, idadi ya vijana wanaotumia dawa hizo nchini China kwa mwaka jana ilipungua, na mafanikio yameanza kuonekena katika kazi za kutoa elimu kwa vijana kuhusu madhara ya matumizi ya dawa za kulevya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako