• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania Wachimbaji dhahabu wanasema wanapoteza zaidi ya dola milioni 1 kufuati kupigwa marufuku mauzo ya nje ya dhahabu

    (GMT+08:00) 2017-03-27 20:25:37

    Wachimbaji dhahabu Acacia Mining wanasema wamekuwa wakitengeneza hasara ya zaidi ya dola milioni 1 kila siku katika mapato kwenye migodi zake mbili nchini Tanzania kutokana na agizo la serikali la kupiga marufuku mauzo ya nje ya dhahabu na shaba kutoka nchini.

    Agizo ili la wizara ya nishati na madini ya Tanzania kupiga marufuku mapema mwezi upelekaji wa shaba nchi za nje kwa ajili ya usindikaji, umeweka asilimia 30 ya mapato ya Acacia hatarini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako