• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuimarisha uungaji mkono wa kifedha katika sekta ya utengenezaji

    (GMT+08:00) 2017-03-28 18:01:10

    China itatumia nguvu zote kukuza uchumi halisi na kutoa uungaji mkono na huduma za fedha ili kujenga taifa lenye nguvu katika utengenezaji.

    Hayo yamo kwenye mwongozo uliotolewa leo kwa pamoja na Benki Kuu ya China na Wizara ya Viwanda na Upashanaji Habari ya China.

    Ili kuendeleza sekta ya utengenezji, mwaka 2015 China ilitoa mwongozo wa kwanza wa utekelezaji wa miaka kumi unaosisitiza kujenga taifa lenye nguvu katika utengenezaji, unaojulikana kama "Made in China 2015".

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako