• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Xinjiang kupeleka zaidi ya wanafunzi 20,000 kutoka makabila madogo kusomea kwenye miji ya bara

    (GMT+08:00) 2017-03-28 18:04:15

    Zaidi ya wanafunzi 20,000 kutoka Mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uygur ulioko kaskazini magharibi mwa China, unaojulikana kama mkoa wa makabila madogomadogo, watapokelewa katika vyuo na shule zilizoko miji ya ndani kwa mwaka huu.

    Jumla ya wanafunzi 9,880 kutoka Xinjiang watakwenda kusoma kwenye shule za sekondari ya juu katika miji ya ndani, 3,300 watajiunga na shule za ufundi stadi, na 8,600 watasoma katika vyuo vikuu vya ndani.

    Wanafunzi kutoka makabila madogomadogo wamepewa nafasi katika shule na vyuo vikuu katika miji ya ndani kuanzia mwaka 1989, katika programu maalum ya kuwapatia wanafunzi wenye vipaji elimu bora, na kwa wakati huohuo, fursa kubwa zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako