• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya yathibitisha raia wanne kuwa miongoni mwa wafanyakazi wa misaada waliouawa Sudan

    (GMT+08:00) 2017-03-29 09:55:10

    Waziri wa mambo ya nje wa Kenya Bibi Amina Mohamed amesema, wakenya wanne ni kati ya wafanyakazi sita wa misaada waliouawa wakati msafara wao uliposhambuliwa jumamosi iliyopita.

    Bibi Amina Mohamed amesema wakenya hao wanne walikuwa wanafanyakazi wa GREDO, ambalo ni shirika lisilo la kiserikali linalofadhiliwa na shirika la kuwahudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNICEF kujenga vituo vya vijana huko Pibor.

    Amesema idara ya usalama ya Sudan Kusini inafanya juhudi ikishirikiana na maofisa kutoka Shirika la GREDO na UNICEF kurejesha miili yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako