• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na New Zealand zaahidi kuimarisha uhusiano

    (GMT+08:00) 2017-03-29 10:06:38

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang na mwenzake wa New Zealand Bw. Bill English wameahidi kuimarisha uhusiano wa nchi zao kwa ajili ya maslahi ya pande mbili. Akiongea kwenye tafrija ya kumkaribisha iliyohudhuriwa na wanasiasa, wafanyabiashara na wasomi zaidi ya 500 nchini New Zealand, Bw. Li Keqiang amesema uhusiano na ushirikiano kati ya China na New Zealand umefikia ngazi ya juu kwenye historia, na China inapenda kushirikiana na New Zealand katika kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja na kuwanufaisha watu wengi zaidi na mafungamano ya kiuchumi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako