• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Wakenya wanaotengeneza pesa nchi za nje wamepatiwa msamaha wa kodi  wa mwaka mmoja

    (GMT+08:00) 2017-03-29 19:19:19

    Kuanzia mwaka ujao, Wakenya ambao wanafanya kazi, biashara au kumiliki mali nje ya nchi wanasubiria adhabu kubwa kwa kutokuwa wazi juu ya mapato yao kwa ajili ya ushuru kurudi nyumbani.

    Mamlaka ya Mapato ya Kenya imetoa mwaka mmoja wa msamaha wa kodi msamaha hadi Desemba 31, 2017 kwa walipa kodi katika nchini za nje kuonyesha mapato yao.

    Wale watakosa kufanya hivyo basi watachunguzwa kwa ajili ya tathmini ya kodi kwa sababu ya kupigwa faini.

    Bw, Ojee amesema wale watatangaza kipato chao katika kipindi cha msamaha kodi yao, na adhabu kwa miaka ya nyuma ikiwa ni pamoja na mwaka wa 2016 itaondolewa.

    Hazina ya Taifa ya panga kuongeza sh bilioni 300 ($ bilioni 3) kwa Kuandikisha mapato yanayotokana na watu binafsi, biashara na mali yalioko nje ya nchi, kuweza kufadhili bajeti ya sh trilioni 2.6 ya mwaka wa fedha wa 2017 na 2018.

    Wanalegwa wakuu ni pamoja na wanariadha, wachezaji, wasanii, washauri na makampuni ya ukaguzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako