• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Faida ya benki ya Stanbic Uganda yaongezeka hadi shilingi bilioni 191

    (GMT+08:00) 2017-03-30 19:08:16

    Faida ya benki ya Stanbic nchini Uganda imeongezeka hadi shilingi bilioni 191 licha ya kuwepo na madeni mengi ya mikopo.

    Faida yake baada ya kulipa ushuru sasa ni shilingi 191b mwaka 2016ikilinganishwa na shilingi 151 mwaka 2015.

    Mkurungezi wa idara ya fedha Sam Mwogeza amesema licha ya kwamba mwaka huo wa 2017 benki hiyo kubwa zaidi nchini Uganda ilitarajia kipindi kigumu cha madeni lakini bado imefanikiwa kuzalisha mapatao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako