• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wachezaji wa Arsenal bado wampenda Arsene Wenger

    (GMT+08:00) 2017-03-31 08:50:42
     

    Mshambuliaji wa Arsenal Alex Iwobi anataka meneja wa klabu hiyo Arsene Wenger kusalia Emirates na kusema kuwa kukosolewa kwake sio sahihi.

    Wenger mwenye umri wa miaka 67 amekuwa akikosolewa na mashabiki wa timu hiyo baada ya timu yake kushuka mpaka nafasi ya sita katika msimamo wa ligi ya EPL kufuatia kufungwa katika michezo mitano iliyopita. Magoli 10-2 waliyofungwa na Bayern Munich katika michuano ya Ulaya imeongeza msukumo kwa meneja huyo, huku akisema kuwa atafanya maamuzi sahihi katika siku za usoni.

    Mkataba wa Wenger unamalizika mwishoni mwa msimu huu, lakini amepewa ofa ya kuongeza miaka miwili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako