• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matumizi mabaya ya umeme unaozalishwa na nishati mpya yaongezeka nchini China

    (GMT+08:00) 2017-03-31 18:24:44

    Uwezo wa China wa kuzalisha umeme kwa upepo na jua uliendelea kuongezeka mwaka jana, lakini asilimia kubwa ya umeme uliozalishwa na rasilimali hizo safi ilitumiwa vibaya.

    Hayo yamo katika esemwa na ripoti ya maendeleo ya nishati ya China kwa mwaka 2016 iliyotolewa jana na Taasisi ya Mpango na Uhandisi wa Nishati ya Umeme ya China, ambayo pia imesema asilimia kubwa ya kuongezeka kwa umeme uliopotea kuimeathiri maendeleo endelevu ya nishati mpya nchini China.

    Katika miaka ya karibuni, China imekuwa ikihamasisha maendeleo ya rasilimali za nishati safi katika miaka ya hivi karibuni ili kupunguza utegemezi mkubwa wa nchi hiyo kwenye makaa ya mawe, ambayo yamechukua asilimia 72 ya matumizi ya jumla ya nishati.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako