• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi ya Kikapu mkoa wa Dar es salaam: Savio yaisambaratisha Vijana

    (GMT+08:00) 2017-04-03 08:23:49
    Ligi ya mpira wa kikapu mkoa wa Dar es salaam imeendelea jana jumapili katika uwanja wa ndani wa Taifa wakati timu ya Savio kufanikiwa kushinda mchezo huo.

    Savio wamefanikiwa kuifunga timu ngumu ya vijana kwa magoli 67 dhidi ya 55 ya Vijana.

    Ligi hiyo ya kikapu mkoa wa Dar es salaam huchezwa jumamosi na jumapili katika uwanja huo wa Taifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako