• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Bei ya unga wa mahindi yatarajiwa kuanza kushuka kwa muda wa wiki moja

    (GMT+08:00) 2017-04-03 19:47:46
    Bei ya unga wa mahindi yatarajiwa kuanza kushuka kwa muda wa wiki moja.

    Waziri wa Kilimo Willy Bett anasema kushuka kwa bei ya unga wa mahindi kutaanza kushuhudiwa wakati mahindi yalioagizwa kutoka Mexico yatawasili.

    Aidha anasema gharama ya kilo 90 ya mfuko wa mahindi hivi sasa inanunuliwa kwa sh 4,500 na kuna hofu kuwa hali ya hivi sasa inaweza kuongezeka hadi Sh 5,000.

    Mahindi kutoka Mexico ni ya gharama nafuu katika soko na ni itasaidia kupunguza bei ya unga wa mahindi.

    Pia anasema wanatarajia uagizaji kutoka Ethiopia kuanza kuingia kupata nchini hivi karibuni kupitia mpakani Moyale.

    Waziri wa hazina ya fedha Henry Rotich wiki iliopita wakati wa hotuba yake ya bajeti alipendekeza kutolewa ushuru wa bidhaa kwa mkate na unga wa mahindi.

    Pia ametoa ushuru kwenye uagizaji wa mahindi kwa miezi minne ijayo

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako