• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Somalia: uwekezaji wa kigeni kuanza Mogadishu tangu usalama na miundombinu kuboreshwa

    (GMT+08:00) 2017-04-03 19:49:02

    Mamlaka mjini Mogadishu zinasema mji huko tayari kwa uwekezaji wa kigeni tangu usalama na miundombinu kuboreshwa kwa kiasi kikubwa.

    Meya wa Mogadishu, Yussuf Hussein Jimale, ameimbia gazetti la EastAfrican kuwa mji hachukuliwi tena kuwa hatari kwa wawekezaji wa kigeni kwa sababu ya juhudi serikali imeweka ni kuboresha usalama, barabara na umeme.

    Bw; Jimale, anasema serikali yake imekuwa ikitia motisha wawekezaji wa kigeni kama vile kusimamisha kodi kwa muda na kuharakisha na kufuatilia usajili wa kampuni.

    Sekta ambazo bado ziko wazi kwa ajili ya uwekezaji wa kigeni ni viwanda, mawasiliano, elimu na bima.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako