• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Raga: wachezaji 7 kila upande, Uganda yajiandaa vilivyo

    (GMT+08:00) 2017-04-04 08:35:45
    Timu ya Taifa ya Rugby ya Uganda (Rugby Crranes) ambao ni mabingwa wa Rugby Afrika, wiki hii wataanza kupeperusha bendera ya Uganda na Afrika Mashariki kushindana na timu nyingine 11 katika michuano ya kimataifa ya Rugby inayofanyika Hong Kong kuanzia jumapili.

    Kocha wa Uganda Phillip Wokorach amesema wachezaji wake wako katika ari nzuri na matumaini ya kushinda katika mashindano hayo.

    Mabingwa hao wamepangwa kundi E pamoja na timu za Tonga, Ujerumani na Jamaica. Huku wenyeji wa mashindano hayo Hong Kong wao wako katika kundi F pamoja na Chile, Sri Lanka na Namibia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako