• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • EPL: Leo Old Trafford, Man U kuvaana na Everton.

    (GMT+08:00) 2017-04-04 08:36:35
    Manchester United leo usiku katika uwanja wa nyumbani kwao Old Trafford watakutana na Everton kwenye mechi ya EPL, ligi kuu ya England, ambayo hiyo na ile inayufuatia Wikiendi inayokuja dhidi ya Sunderland ndiyo itatoa mwelekeo wa timu hiyo kuwemo 4 bora au la kwa mujibu wa meneja wao Jose Mourinho.

    Kufuzu 4 bora ya ligi kutawawezesha Man United kucheza UCL, UEFA CHAMPIONS LIGI msimu ujao lakini pia kutwaa EUROPA LIGI kutawapa nafasi hiyo pia.

    Hivi sasa kwenye msimamo wa ligi hiyo, Man United wapo nafasi ya 5 wakiwa na Pointi 53 kwa mechi 28 wakati Man City wapo nafasi ya 4 wakiwa na Pointi 58 kwa mechi 29.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako