• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mayweather kurejea rasmi ulingoni, kuzipiga na McGregor Juni 10 Las Vegas

    (GMT+08:00) 2017-04-04 08:36:57
    Wababe Floyd Mayweather na Conor McGregor watapigana Juni 10, mwaka huu. Mmarekani anayefahamika kama Money na Muireland aitwaye Notorious wameuteua ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas kuwa shehemu ya pambano lao.

    Mayweather amesema kwamba rasmi amerejea ulingoni kwa ajili ya McGregor baada ya kustaafu akiwa amepigana mapambano 49 na kushinda yote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako