• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Konta ajiondoa katika michuano ya Charleston

    (GMT+08:00) 2017-04-04 08:37:16
    Mcheza tenisi Muingereza Johanna Konta, amejiondoa katika mashindano ya tenisi ya wanawake ya Charleston yaliyoanza kutimua vumbi Jumatatu kutoka na kuwa na maumivu ya bega .

    Konta mwenye umri wa miaka 25 alikua mwingereza wa kwanza kushinda taji la michuano ya wazi ya Miami kwa kumfunga Caroline Wozniacki jumamasi iliyopita.

    Mchezaji huyo amesema michuano ya Charleston ni mashindano makubwa na alitarajia kushiriki lakini alikuwa akipambana na maumivu hayo toka kwenye michuano ya Miami kuanzia mwanzo hadi mwisho.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako