• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda:Ushuru wa hoteli kuondolewa

    (GMT+08:00) 2017-04-04 18:55:51

    Serikali ya Uganda imeanzisha mikakati ya kupunguza ama hata kuondoa ushuru wa mahoteli nchini humo ili kuvutia wawekezaji wa sekta hiyo.

    Waziri wa utalii Ephraim Kamuntu amesema hatua hiyo itavutia watalii zaidi kufuatia huduma bora ya za hoteli.

    Waziri Ephraim amesisitiza kwamba serikali ya Uganda imekubali kuondoa ushuru kwa mahoteli ili biashara hiyo ipanuke.

    Uganda inalenga kuongeza idadi ya watalii kutoka nchi za nje kufikia milioni 4 mwaka 2020 kutoka milioni 1.3.

    Sekta ya utalii huchangia asilimia 9 ya mapato ya ushuru wa Uganda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako