• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda:Mfumko wa uchumi wapungua

    (GMT+08:00) 2017-04-04 18:56:14

    Mfumko wa uchumi wa Uganda umepungua kutoka asilimia 6.7 hadi asilimia 6.4 kufikia machi mwaka 2017.

    Kwa mujibu wa idara ya takwimu na utafiti wa uchumi,hali hiyo imesababishwa na kuimarika kwa kiasi kidogo kwa bei za vyakula na bidhaa muhimu nchini Uganda.

    Shirika la takwimu la Uganda limearifu kwamba wanatarajia uchumi kuboreka katika miezi ijayo nchini humo.

    Kulingana na maelezo ya shirika hilo,idadi ya wateja waliotumia fedha kwenye bidhaa na ununuzi wa huduma aidha imeongezeka na kuashirika kwamba mzunguko wa fedha umenaza kuimarika.

    Sekta ambayo imeonyesha mabadiliko bora zaidi ya uchumi ni ile ya elimu ilioadikisha mfumko asilimia 11.8 kutoka kwa asilimia 20.2.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako