• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda:Benki ya AFDB yatoa dola milioni 450 za kuboresha biashara Rwanda.

    (GMT+08:00) 2017-04-04 18:56:31

    Benki ya maendeleo ya Afrika AFDB imetoa dola milioni 450 kuimarisha biashara ya uuzaji wa bidha kwa nchi za nje.

    Wauzaji wa bidhaa kwa nchi za nje kutoka Rwanda aidha watapewa mkopo wa dola milioni 300 .

    George Elombi mkurugenzi wa masuala ya sharia za biashara amesema fedha hizo zitatumika kupanua shuhuli za biashara ikiwemo kuinuliwa kwa taasisi za kifedha kwa mikopo .

    Elombi amesema baadhi ya taasisi za wastani na za biashara ndogo ndogo zimeshindwa kukabiliana na changamoto za kifedha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako