• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kwesi Appiah akabidhiwa tena mikoba timu ya taifa ya Ghana Black stars

    (GMT+08:00) 2017-04-05 08:26:35
    Chama cha soka cha Ghana kimemteua tena Kwesi Appiah kuwa kocha mkuu wa wa timu ya taifa ya Ghana Black stars.

    Appiah amepewa mkataba wa miaka miwili wa kuinoa timu ya taifa na ataanza kazi yake rasmi mei mosi mwaka huu.

    Kocha huyu anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Avram Grant ambaye alijiuzulu baada ya kumalizika kwa fainali za michuano ya kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2017.

    Hi ni mara ya pili kwa kocha huyu kuinoa timu hiyo YA taifa, mara ya kwanza aliiongoza timu hiyo kuanzia mwaka 2012 mpaka 2014.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako