• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yakabidhi tani 4,000 za mchele kwa Namibia

    (GMT+08:00) 2017-04-05 10:24:53

    China imekabidhi tani elfu 4 za mchele kwa Namibia ili kuisaidia nchi hiyo kupambana na maafa ya ukame.

    Hafla ya makabidhiano hayo ilihudhuriwa na Naibu waziri wa mambo ya nje wa China Zhang Ming na naibu waziri mkuu ambaye pia ni waziri wa uhusiano wa kimataifa wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah .

    Rais Hage Geingob wa nchi hiyo ametangaza hali ya dharura nchini humo kutokana na maafa hayo ambayo tayari yameathiri watu laki 5.9.

    Bw. Nandi-Ndaitwah pia amesema, Namibia inaweza kujifunza uzoefu wa China ili kuhakikisha usalama wa chakula nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako